
Kabla ya kuingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya, Storch aliwahi kutengeneza hits za mastaa kibao akiwemo 2Pac, 50 Cent, Beyonce, Lil Wayne, The Game, Dr. Dre na wengine wengi.
Kupitia akaunti yake ya instagram, Storch aliandika, “One of the best days reunited with @drdre




Aidha Storch aliwahi kutajwa kama ni mmoja ya watayarishaji wa muziki matajiri duniani akiwa na utajiri wa $70 milioni lakini mpaka sasa anakadiriwa kuwa na utajiri usiozidi dola milioni 3.6
0 maoni:
Chapisha Maoni