mdudu

mdudu

WARCH ONLINE NEW VIDEO

SIKILIZA NA DOWNLOAD NGOMA KALI MPYA

Jumamosi, 2 Julai 2016

New Music: Wizkid f/ Chris Brown, Trey Songz & French Montana – Shabba



Msanii wa Nigeria, Wizkid ameachia wimbo wake mpya wa ‘Shabba’ aliowashirikisha Chris Brown, Trey Songz na French Montana.
wizkid-cb-ts-fm
Siku ya Ijumaa Chris Brown aliachia ngoma yake mpya yenye jina kama hilo ‘Shabba’ ndani ya wimbo huo akimshirikisha Wizkid na rapper wengine wachanga, Hoody Baby & Section Boyz.
Hata hivyo inadaiwa kuwa wimbo wa ‘shabba’ wa Wizkid ndiyo original japo umechelewa kutoka lakini Chris Brown ndiyo aliufanyia version wimbo huo kwa kumshirikisha Wizkid.
Nyota ya Wizkid imeonekana kuendelea kung’aa ndani ya Marekani kwa kufanya ngoma na mastaa wakubwa kadhaa huku wimbo wa ‘One Dance’ alioshirikishwa na Drake ukiendelea kufanya vizuri kwenye chati za Billboard na kumtambulisha vizuri msanii huyo wa Nigeria.

0 maoni:

Chapisha Maoni

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Online Project management